ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Pamoja sana mkuu !Kuna mkuu anaitwa ChickMagnet amenisaidia kuona mechi na kushuhudia mnyama mkali Simba akitafuna kichea na Maharamia wa Orlando. Mkuu Mungu akubariki sana. Nilikuw sina namna na kuona hii game.
Nashukuru nimeiona na maharamia tumewatafuna.