FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Hapa bado sijafanya maamuzi niende kwa Mkapa, Kibanda Umiza au Home.
Option zote naweza kuangalia mpira.
 
Uwe unawauliza hata mashabiki wa Simba walio karibu na wewe chura.
Simba ilikutana na Orlando Pirates Pre-season ya 2019 na walitoka sare huko kwa madiba
Amesema hawajawahi kukutana katika mashindano yoyote, labda utuambie Wewe hiyo "Pre Season" ilikua ni mashindano labda.
 
Mkuu nenda kaangalie katika Tv ya reception ya hospitali ili kama kikitokea chochote basi utapata msaada wa haraka sana
Wewe utakuwa Hospital gani tuje tuangalie wote ili na wewe ukipata shida usaidiwe kwa haraka.
 
Usiku wa deni hatimae umefika na kumekucha.

Mashabiki mseto bila shaka wasiwasi umewajaa.
 
Kwa Mkapa sio hatoki mtu tu bali twahitaji goli nyingi kuanzia 3 ili twende na imani kubwa ya kusonga mbele S. Afrika. Viva mnyama, kesho tuko pamoja...
Makirikiri waliwafunga uwanja wa Namfua
 
Umeshindwa kuwaambia wenye stars times pia kama wanapenda kuangalizia mechi majuumbani wasipate tabu kwenda vibandani mechi wanarusha pia.
Kwa matangazo ya tv
Azam
Dstv
Startimes

Kwa wale wa kustream hesgoal.tv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…