EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Ahsante mkuu.Download DStv Now nikupe email na password ila utanitoa hata ela ya bia tatu
Bambo bumbafuu sana17 April 2022
[emoji23]Kocha Pablo Apangiwa kikosi cha Simba na Mganga Kuwaua Orlando Pirates, Bambo na Abbas Pira
Acheni kufakefake vitu kijingajinga
Weka na kikosi cha SimbaKikosi cha Orlando Pirates kinachoanza
Ofori,Jele, Nyauza, Maela,Shandu, Mosele, Monare, Ndlovu, Hotto, Dlamini, Peprah
Subs: Mpontshane, Sam, Hlatshwayo, Mabaso, Motshwari, Makaringe, Mntambo, Lorch, Lepasa
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Wanaogopa kulogwaMbona simba hawatoi kikosi
Wanaanza kweweseka kabla kipigo hakijaanzaImetamkwa wapi kwamba wa Yanga haruhusiwi anzisha uzi unaoihusu Simba!?!?
Mbona simba hawatoi kikosi
Wanashangaza!Wanaanza kweweseka kabla kipigo hakijaanza
Najikaza lakini wapiiiikazaa
TayariWeka na kikosi cha Simba