FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Kikosi cha Orlando Pirates kinachoanza

Ofori,Jele, Nyauza, Maela,Shandu, Mosele, Monare, Ndlovu, Hotto, Dlamini, Peprah

Subs: Mpontshane, Sam, Hlatshwayo, Mabaso, Motshwari, Makaringe, Mntambo, Lorch, Lepasa

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Kwa kuingiza mambo ya siasa michezoni,kwa mara ya kwanza naomba kutoka rohoni Simba wafungwe.
 
Mbona simba hawatoi kikosi
CollageMaker_20220417_182006633.jpg
 
Mkude na Lwanga kwa pamoja, ni dalili ya mwal kuwa anajihami zaidi kuliko kushambulia. Tunaweza tukafungwa ama droo
 
Morrison, Banda na Sakho

Speed Car city racing
 
Back
Top Bottom