Huwa sibet nduguHapa bila shaka umeweka ela kwa Simba kupata ushindi. Hapo upati presha, wakishinda unachukua mpunga kwa mhindi na wakishindwa kushinda unabaki na amani ya moyo kwa kuwazodoa
Nenda kwenye post #1 na 2Mwenye link ya live
[emoji23][emoji23]hata ya Galaxy?kuna mechi nyingi tu zilizopita ulikaa jukwaa la wapinzani wa Simba ukisubiri, lakini uliishia kubaki na maumivu
Naomba hiyo link ya hesgoal mkuuUmeshindwa kuwaambia wenye stars times pia kama wanapenda kuangalizia mechi majuumbani wasipate tabu kwenda vibandani mechi wanarusha pia.
Kwa matangazo ya tv
Azam
Dstv
Startimes
Kwa wale wa kustream hesgoal.tv
Huyu Hotto aangaliwe sana.Kikosi cha Orlando Pirates kinachoanza
Ofori,Jele, Nyauza, Maela,Shandu, Mosele, Monare, Ndlovu, Hotto, Dlamini, Peprah
Subs: Mpontshane, Sam, Hlatshwayo, Mabaso, Motshwari, Makaringe, Mntambo, Lorch, Lepasa
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Kuna watu ni wapumbavu sana, games nyingi za Yanga OP anakua shabiki wa Simba wala hakujawahi kua na shida yoyoteImetamkwa wapi kwamba wa Yanga haruhusiwi anzisha uzi unaoihusu Simba!?!?
Sasa ulitaka nani aanze badala ya Lwanga, Mzamiru au?Mkude na Lwanga kwa pamoja, ni dalili ya mwal kuwa anajihami zaidi kuliko kushambulia. Tunaweza tukafungwa ama droo
Huyu jamaa anaipenda sana Simba Sc.
Nyie hata mkienda lakini umuhimu wenu kwa Taifa hili haupo...!Simba mwendo wetu umeishia hapa tugange msimu ujao ambao yanga ndio wataenda
not working, walisema hamna ratiba ya mechi ya SimbaNaomba hiyo link ya hesgoal mkuu