makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,620
- 5,260
Mh kwa kikosi hiki?🤔🤔🤔🤔 Ah ok poa Mimi Simba nitabaki kuwa Simba nasimama na chama langu nguvu 1
kipindi Cha kwanza kitaenda 1-1 kipindi Cha pili Hawa tuliowasaidia kuwapa uhuru watatusamehe tu 5-1 man of the match atakuwa kagere akitokea benchi MUNGU ibariki Simba...