mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Cha ajabu bwana harusi katulia tulii! Hana pressure ila Bibi harusi na wapambe wake hawatulii ni miangaiko kila kona. Sijui wanahofia nini?Makirikiri waliwafunga uwanja wa Namfua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha ajabu bwana harusi katulia tulii! Hana pressure ila Bibi harusi na wapambe wake hawatulii ni miangaiko kila kona. Sijui wanahofia nini?Makirikiri waliwafunga uwanja wa Namfua
Nitakuwa jukwaa la fans wa Orlando Pirates nikishuhudia makolo wakishushiwa kitu kizitoWewe utakuwa Hospital gani tuje tuangalie wote ili na wewe ukipata shida usaidiwe kwa haraka.
Atainamishwa,wamsweke ndaniInama nikusweke
Utopolo mnajua sana kukimbilia kuanzisha mambo yasiyowahusu, halafu Simba SC wakianza kuhesabu magoli mnakimbia thread mnazoanzisha hamuweki update, acheni viherehere.
Hawa Uto.....wana mahaba na Mnyama Simba sema hawawezi kukiri hadharani...😂😂😂.Mimi nadhan ungeachia Wana Simba wenyewe wautangaze Huu mchezo .
Pilipili usoila yakuwashia nn... Tiketi umeshapata???
Mkuu Inshallah leo ushindi upo kwa Simba.Leo mbona najiamini sana, sijui kuna nini
Mimi sijiamini kabisa, na ukiona hivi ujue matokea yatakuwa mazuri.Leo mbona najiamini sana, sijui kuna nini
Anatia najisi kabisa huyu..Forteleza..Okwi Boban Sunzu mnachelewa wapi?!!!Kuwahi sio shida, shida ni muanzisha uzi kwenye kutoa apdates anakata moto, hasa akiwa shabiki wa Uto huwa wanakimbia uzi wakishaona Simba ana goli za kutosha walafu wanawapa kazi Scars Ghazwat na OKW BOBAN SUNZU kusimamia kitengo.
Ngunjani nyapilaKunjani
Pre season nayo ni michuano rasmi? Ondoa umbumbumbuUwe unawauliza hata mashabiki wa Simba walio karibu na wewe chura.
Simba ilikutana na Orlando Pirates Pre-season ya 2019 na walitoka sare huko kwa madiba