SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Yani hilo linahitaji ukalale makaburini kweli?Nendeni mkalale makaburini kuanzia leo hadi siku ya mechi marudiano, ili simba itolewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hilo linahitaji ukalale makaburini kweli?Nendeni mkalale makaburini kuanzia leo hadi siku ya mechi marudiano, ili simba itolewe.
Unesahau waliwafunga Mabingwa wa TalebanHivi mara ya mwisho Utopolo kuifunga timu ya nje ni lini ?
Na ilikuwa timu gani ?
Na kwanye mashindano gani ?
Goli la ushindi aliyefunga nani ?
NB
Hivi Utopolo ipo nafasi ya ngapi kwa ubora Africa ?
Nafasi Gani Mnayo? Kwa Takwimu Zipi Zinazowabeba Mkicheza Away?Kikubwa hawajawapa Orlando Away goal, nafasi bado wanayo.
umejibu vyema na refa hakuona ulazima wa kwenda kuangalia kwa sababu wale waliokuwa studio baada ya kureview tukio wakaona ni penati na refa hakuwa na pingamizi nao kama wale jamaa wa studio wangemwambia sio penati basi refa lazima angeenda kuangalia kwenye screen VAR humsaidia tu refa kuona kwa vizuri na kujiridhisha tukio husika lakini refa ndiye mwenye maamuzi ya mwishoVideo Assistance Referee. Mara nyingi wale wanao kua studio wanamletea picha za video refa kwenye television pekee iliyopo uwanjani Ili ajiridhishe na sisi watazamaji tunaletewa picha za video Ili kuondoa utata na chupri.
Sasa kama VAR ya Afrika Ipo Kwa mtindo nilio uona Leo basi CAF Wana kazi kubwa ya kufanya.
Haijalishi tukio la Morrison kama ni penalty alali au sio halali ila namna VAR ilivyo tumika sioni na tofauti refa kumuuliza msaidizi wake.
Ndio hivyo yaani, hamuamini macho yenuKama nakuona. Lol.
Unamaanisha ile mechi na timu ya Somalia.Unesahau waliwafunga Mabingwa wa Taleban
Mechi ya Al Ahl na Raja refa alienda mwenyewe kutazamaVideo Assistance Referee. Mara nyingi wale wanao kua studio wanamletea picha za video refa kwenye television pekee iliyopo uwanjani Ili ajiridhishe na sisi watazamaji tunaletewa picha za video Ili kuondoa utata na chupri.
Sasa kama VAR ya Afrika Ipo Kwa mtindo nilio uona Leo basi CAF Wana kazi kubwa ya kufanya.
Haijalishi tukio la Morrison kama ni penalty alali au sio halali ila namna VAR ilivyo tumika sioni na tofauti refa kumuuliza msaidizi wake.
Mmh!! Nani sasa sisi au nyie?Ndio hivyo yaani, hamuamini macho yenu
Takwimu na historia zipo kwa ajili ya kuvunjwaaNafasi Gani Mnayo? Kwa Takwimu Zipi Zinazowabeba Mkicheza Away?
Ule sio Mwenge jombaVAR imulike vuzuri kila engo.
Kakate rufaa kama imekuuma...Au kafunge VAR yako.Sasa kama VAR ya Afrika Ipo Kwa mtindo nilio uona Leo basi CAF Wana kazi kubwa ya kufanya.
Haijalishi tukio la Morrison kama ni penalty alali au sio halali ila namna VAR ilivyo tumika sioni na tofauti refa kumuuliza msaidizi wake
Hongera unaujua mpiraUkweli uko wazi kua Simba msimu huu hatuko vizuri sana hasa eneo la umaliziaji na kidogo kwenye midfield hivyo kwa aina ya matokeo tuliyopata ni jambo lakushukuru kikubwa ni kwenda kupambana tu.
Na jambo lingine zuri nikua hatujaruhusu goli hivyo inaweza kuwajengea presha ya kiuchezaji wapinzani wetu kwakua tunanafasi ya kupata goli la ugenini ni mechi ambayo itakua wazi sana japo faida kubwa itakua kwa Pirates endapo watapata goli mapema.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app