FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

pale mbele bado kuna pengo la kutengeneza nafasi pengo la kazi anayoifanyaga chama inaonekana
 
Ni kweli jukumu la kwanza ni kusapoti timu ila na wenyewe wakiona mambo yasiyoridhisha yanafanyika na kuendekezwa huku malalamiko yao yanadharaulika, matokeo yake ndiyo haya sasa.

Mashabiki ndiyo mpango mzima kwa timu zote duniani, wasikilize na ongea nao hata kinafki. Tuache kuwachukulia poa.
 
Nadhani Simba inahitaji mtu mithili ya max wa yanga pale katikati.
 
pale mbele bado kuna pengo la kutengeneza nafasi pengo la kazi anayoifanyaga chama inaonekana
Acha kukariri. Ninyi ndio mnaorudisha Simba nyuma na chamaism yenu. Timu imecheza vzr na pasi za magoli zimetengenezwa za kutosha. Kwani Simba huwa haifungwi akicheza huyo Chama wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…