FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Ww bhana huna wachezaji
Bocco
Saido
Kapombe
Kipa Ayoub
Yule kanoute mcheza faulo
Baleke sijui na kibu
Halafu linganisha enzi za akina DEO Kanda, Kahata,wawa ,Kagere , Miqueson na Chama wakiwa kwenye peak
Halafu toa jibu kama mtu wa Mpira
Huyo kocha mpya Bila ya kusajili hamuendi popote, na ubaya Zaidi dirisha kubwa mpaka msimu uishe
Kwa hiyo kwenye karatasi tayari mshapoteana ,tungoje miujiza labda
 
Mashabiki wa SImba sc wanaaandamana hapa leo kazi ipo wanaimba hawamtaki mangungu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu kocha wenu mpya, sijui benchi kaa, sijui balance china, hatakuwa na maisha pale simba, atatupiwa virago pindi simba atakapopigwa wiki na Wydad AC
 
Nje ya mada kidogo. Hivi hapa Air Manula alikuwa ana mshauri nini mwenzie🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…