Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Kabsa hamna timu hapaNawashangaa Hawa makocha halafu pumbavu kabisa mashabiki wanaowapa vichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabsa hamna timu hapaNawashangaa Hawa makocha halafu pumbavu kabisa mashabiki wanaowapa vichwa.
Tunaelekea kananiPira Papatu Papatu kazini wanasimba sijui tunaelekea wapi
Aisee leo kweli nimeona hilo pira papatu mnalosemaga. Leo kweli limepigwaPira Papatu Papatu kazini wanasimba sijui tunaelekea wapi
Uko sahihi kabisa na mimi ndiyo maana nimekuwa nasema itachukua muda mrefu sana hii timu kukaa sawa maana hata wanaotakiwa kurekebisha nao ni chanzo cha tatizo.Maboresho makubwa yafanyike kiufundi.
Kuja kocha mpya ni hatua moja, lakini idara nzima ya ufundi na hasa training facilities ikiwa na pamoja na aina ya CAMP...
Ona timu inavyokimbia ( ftness iiko chini )..
Hili ni tatizo la muda mrefu, na kocha mpya atarithi.
SIMBA fans itahitaji muda kusubiri wa kuirudisha simba ya kasi ...
Nina mashaka ktk team training and camp management...
Kuna msingi mbovu MR OBJECTIVE ameuacha na too late kwa management kushtuka.
Kama ni mimi CEO ( Kajula ) na chairman Mangungu ningejiudulu ili kupisha upepo mbaya ..
Mashabiki WA Simba wanafanya kosa kubwa Sana. Hata kama ni wewe umekosea mara moja Bosi wako akutukane na kukusimanga wakati huko nyuma ulifanya Vizuri utafurahi?Yanga wameona udhaifu WA Simba. Jana wamefungwa Ila Leo wanawajaza upepo Simba ili mivutano iendelee. Wachezaji wanaotakiwa kila siku washinde wakifungwa wanasimangwa Simba mtawatoa wapi?.Na hapo ndipo tofauti kati ya mashabiki wa Simba na Yanga
Aiseee, hili jibu sijui umewaza nini?Tunaelekea kanani
Mkuu unajua kuna watu wanazunguka na timu kuishangilia bila malipo, Yaani Wachezaji wanalipwa, kocha analipwa, management ina malipo ila Shabiki anavaa kinyago, anajipaka masizi, anabeba ungo kwenda kushangilia timu kama kichaa bila malipo jua lake, mvua yake.Pamoja na hayo tuache kuwa mashabiki wa mafanikio tu, timu ikipata changamoto kidogo tunakata tamaa mno. Tukumbuke huwa kuna kipindi cha mpito baada ya mafanikio. Yaelekea tumeshasahau furaha tuliyoenjoy kwa miaka minne au mitano mfululizo. Mashabiki wa kweli husimama na timu muda wote, angalia Manchester, Liverpool na Chelsea. Ona sasa Mashabiki maandazi wanahamasishana kutokwenda uwanjani, hii si sawa.
Wanakosa uvumilivu sisi tumevumilia sana, iwe wakati wa raha au shida, kifupi wengi wao tunajitambuaMashabiki WA Simba wanafanya kosa kubwa Sana. Hata kama ni wewe umekosea mara moja Bosi wako akutukane na kukusimanga wakati huko nyuma ulifanya Vizuri utafurahi?Yanga wameona udhaifu WA Simba. Jana wamefungwa Ila Leo wanawajaza upepo Simba ili mivutano iendelee. Wachezaji wanaotakiwa kila siku washinde wakifungwa wanasimangwa Simba mtawatoa wapi?.
Mashabiki WA Simba wanafanya kosa kubwa Sana. Hata kama ni wewe umekosea mara moja Bosi wako akutukane na kukusimanga wakati huko nyuma ulifanya Vizuri utafurahi?Yanga wameona udhaifu WA Simba. Jana wamefungwa Ila Leo wanawajaza upepo Simba ili mivutano iendelee. Wachezaji wanaotakiwa kila siku washinde wakifungwa wanasimangwa Simba mtawatoa wapi?.
Pasaka mbali mzee. Mwaka mpya tuHafiki pasaka
Naunga mkono hoja 👍👏Pasaka mbali mzee. Mwaka mpya tu
Hapa hapa my wangu🤣🤣🤣🤣🤣Tuchekee hapa hapa au tukachekee chooni 🤣🤣
Mnaleta kocha wa 49m/mwezi kuja kufundisha wachezaji ambao uwezo wao wa kucheza ulishajiishia?Simba sijui walevi? Mpira gani huu?
Mimi naona wewe ndio ujitoe kuwa shabiki wa Simba. Mmezidi lawama, utafikiri mmewekeza Simba. Uongozi umefanya kama mlivyotaka. Mlitaka Chama na Miquissson warudishwe, wakafanya hivyo. Sasa wao wafanye nini? Kama mnataka timu isiyofungwa, basi sajilini malaika.Kama hawawezi presha waombe kuvunja mkataba. Sisi kama mashabiki hatuwezi kuwasubiria haa kidogo. Simba ni timu kubwa muda wote tunahitaji matokeo. Poteana mechi moja inatosha.
Matokeo yenu kule Algeria hatujasahau.Mashabiki wa 5imba acheni kujazwa upepo, ni Uto hao wanachochea Kuni.
Timu si mbovu to that extent (kwa maana wachezaji, benchi la ufundi, viongozi na kadhalika), kilicholeta tafrani hapa ni kono la nyani tu kutoka kwa mtani, lakini kabla Nov 5 hakukua na haya mambo ukiacha watu wasiozidi watatu humu kwenye Jukwaa
Na hata Uto walivyokua wakiikandia timu ilikua na watetezi wengine sana, sasa hivi ni tofauti au ndio mnakubali kwamba NGAO ya JAMII na zile mechi 6 za mwanzo za NBC PL zilikua kwa hisani ya dada TATU & associates?