FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Naona Robartinho anamnong'oneza Mgunda apashe aingie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili tatizo tusiende nalo Uganda, litatu cost pakubwa sana, kocha afanye mabadiliko kumaliza hii kero.
Yaani wewe unaimani na kocha? Mabadiliko hapo ni kocha kuondoka. Mimi sikuona sababu ya uongozi wa Simba kuleta kocha katikati ya msimu.
 
Mi niseme tu kwa issue za bongo ilitakiwa alivokuja cocha mzungu na Mgunda alitakiwa asiwepo,hawa makocha wawili kuwaweka pamoja ni kuiangamiza Simba
Timu haina strickers.
 
Narudia..
Msimfukuze kocha kosa sio la kocha.. maana hua hamchelewi kocha kocha
 
Nikiwa kama mwanadunduka Opps πŸ™Š mwanasimba guvu moya...
Tunaendelea na kauli yetu..
Kwa Mkapa hatoki mtu 😎😎😎
Mlifanya makosa makubwa sana kuingia uwanjani kwa kutanguliza mathako.
kwenye ile mechi na Raja....
ni dhihaka kubwa sana kuwatangulizia wanaume wenzio matko
Hii laana itawatafuna siku zote
 
61' Kyombo anaingia kuchukua nafasi ya Sakho upande wa Simba SC
 
62' Lyanga anaingia kuchukua nafasi ya Sopu upande wa Azam FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…