FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Yaani wewe unaimani na kocha? Mabadiliko hapo ni kocha kuondoka. Mimi sikuona sababu ya uongozi wa Simba kuleta kocha katikati ya msimu.
Simba haikusajili wachezaji wa maana. Kocha tutafukuza mpaka waishe.
 
Kuna namna jamani huyu Kocha anatutafuta...hebu ngoja tuone
Niliwahi kusema hapa mmefanya vizuri sana kumleta kocha katika ya ligi, kisingizio chake ni hakusajili na hakuwa na pre season na timu...... until next season
 
Yaani wewe unaimani na kocha? Mabadiliko hapo ni kocha kuondoka. Mimi sikuona sababu ya uongozi wa Simba kuleta kocha katikati ya msimu.
Kama Bocco anakosa nafasi za wazi, lipi kosa la kocha?
 
Oooooh...Almanusura Dube aweke kambani bao, mkwaju wake umegonga nyavu ya nje, Jamaa hatari sana kwenye lango la Simba
 
Kwanini Simba wakichukua mpira na wakienda kushambulia hawako Kasi kama wenzao Azam? Hawafundishwi mbio? Waachane na ujinga wa Gym, hayo ni mazoezi ya gym hata kina mama wanaweza. Wachezaji hawawezi kukaba. Benchi la ufundi mjitafakari.
 
Back
Top Bottom