FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Yeah, si mbaya kupumzika, maisha yenyewe mafupi. Huwa namsifu sana Morrison, ikitokea break ndogo sijui ya Mapinduzi Cup au ya michezo ya timu za taifa, yeye anajipa ruhusa huyoo mapumzikoni Ghana. kwa nini ajichoshe wakati akienda au asipoenda bado ataingiziwa 23M zile zile kila mwezi? Na ruhusa aliyojipa ikiisha anajiongezea wiki mbili na hela analipwa! 😀
Mmae. Morrison pale yanga katuweza. Ni untouchable mhuni yule. Anacheza Mechi moja, kwa mama yake miezi miwili. Fwara yule.
 
Yeah, si mbaya kupumzika, maisha yenyewe mafupi. Huwa namsifu sana Morrison, ikitokea break ndogo sijui ya Mapinduzi Cup au ya michezo ya timu za taifa, yeye anajipa ruhusa huyoo mapumzikoni Ghana. kwa nini ajichoshe wakati akienda au asipoenda bado ataingiziwa 23M zile zile kila mwezi? Na ruhusa aliyojipa ikiisha anajiongezea wiki mbili na hela analipwa! 😀
Morrison alirudi pamoja na Aziz Ki na wote wakapewa adhabu na uongozi kwa kuchelewa kuripoti kambini. Ila kinachomfanya asicheze ni majeruhi
 
Back
Top Bottom