FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Mikia tuwe ma shukrani jamani Bilioni 20 zimetumika kujenga hapa
FB_IMG_1676834136902.jpg
 
Timu Yetu Haina Kocha Wa Viungo.

Labda anayemfahamu anitajie jina lake. Wachezaji wanachoka.

Anyways how comes top scorer wa Timu anakaa Bench Dakika 90 bila Kucheza huku Timu ina Struggle Kupata Magori?

Huenda Moo Aliona Hata akitoa hela zake kusajiri wachezaji Washambuliaji watakaa benchi
 
Furaha kwa wanasimba wote msimu huu ikatafutwe kwenye mechi na mtani.
 
Genta anadai kuna viongozi wajanja wanafanya udalali kwa wachezaji ili wapate zile asimilia
Simba walitakiwa kusajiri wachezaji wanne tu msimu uliopita yaani, Adebayo, Manzoki, Phili na Aziz K.
Na kuwa acha Banda na Watara.

Badala yake wakajaza wachezaji wa Kimataifa ambao hawakidhi kiwango
Ndio maana nikasema, huenda kuna ajenda nyingine zaidi kucheza mpira.
Pale Simba.
Pre season unatumia B.2 wachezaji wa maana hamna. Badala yake unasajiri Kocha.
Kuna kitu kinaendelea pale kwenye Bodi ya Simba.
 
Timu Yetu Haina Kocha Wa Viungo.

Labda anayemfahamu anitajie jina lake. Wachezaji wanachoka.

Anyways how comes top scorer wa Timu anakaa Bench Dakika 90 bila Kucheza huku Timu ina Struggle Kupata Magori?

Huenda Moo Aliona Hata akitoa hela zake kusajiri wachezaji Washambuliaji watakaa benchi
Hivi hii imekaaje kiufundi aisee
 
Timu Yetu Haina Kocha Wa Viungo.

Labda anayemfahamu anitajie jina lake. Wachezaji wanachoka.

Anyways how comes top scorer wa Timu anakaa Bench Dakika 90 bila Kucheza huku Timu ina Struggle Kupata Magori?

Huenda Moo Aliona Hata akitoa hela zake kusajiri wachezaji Washambuliaji watakaa benchi
Bado nipo nashangaa mpaka sasa ati phiri anakalia mbao t kule nje dakika 90 .........anaanza boko then baleke sijui kibu .....phiri anautazama mpira benchini.......hahaa dah 😃🙌
 
Sawa Sisi ni wabovu lakini na ubovu wetu wote toka hapo Tu 2010 amjawai kutufunga ata 3_0 na mpo full 💯%

Ila Sisi Simba Taifa kubwa tukiwa full 💯% huwaga tunawabomoa cha mbwa Koko na paka mwizi
Hizi 5-0
Hizi 4_1
Hizi 3_
Hizi 6_
hizi azikosekanagi hivi kwanini mtibwa mnakuaga hivi ?!?
 
Hivi yule kocha wa viungo toka kwa Madiba mbona simwoni. Au alikuja kwenye Kampeni kama Manzoki ?
 
Back
Top Bottom