John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Huyi kocha ni wa kufukuza apatikane kocha makini mithili ya Nabi, usajili wa hovyo wachezaji wengine wa kufukuza.Fukuza huyu Sakho apatikane mtu makini kama Moloko, Fukuza hii chama apatikane mtu makini kama Farid wa Yanga, Fukuza hii Kanoute tfuta mtu makini kama Aucho, Fukuza hiyo Kapombe apatikane mtu makini kama Kibwana.Tatizo pesa hakuna na Bilioni 20 za uongo uongo! Huyu Mo naye aondoke