FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Yanga wanajisahau kuwa mechi yao waliyoita ya kisasi kisasi hicho killipwa na mchezaji wa Ihefu kwa kujifunga yani full time ilikua
YANGA 1 ILA GOLI LA IHEFU
Sijawahi ona kisasi hicho
 
Kwa dkk 45 nilizoangalia Simba yangu mmecheza kiume...Tutafika tuu japo tukiwa tumechokaaa
Nilishindwa kuendelea kuangalia kwa kukosa uvumilivu...
Kumbe siyo mzalendo..!! Ilibidi uende nayo hadi mwisho
 
Kuna watu hawajui kwamba hata DON CARLO ANCERLOTY AKIJA SIMBA ATAONEKANA HAFAI.
 
Yanga wanajisahau kuwa mechi yao waliyoita ya kisasi kisasi hicho killipwa na mchezaji wa Ihefu kwa kujifunga yani full time ilikua
YANGA 1 ILA GOLI LA IHEFU
Sijawahi ona kisasi hicho
Dunduka unajipa moyo banaaa
 
Adebayo aliomba m 300 tu aje Simba. Manzok naye aliomba hizo hizo badala yake wanasajiri Kocha na Okwa na Akpan na Okra ambao wanaishia Benchi.
Trip ya Dubai wanatumia B.2.

Nadhani hapo Simba kuna ajenda zaidi ya kucheza mpira.
 
Ngada
 
Simba ngoja tutafute Kocha toka Spain nadhani atawezesha Simba kufunga magoli ktk timu Ngumu.
 
Adebayo aliomba m 300 tu aje Simba. Manzok naye aliomba hizo hizo badala yake wanasajiri Kocha na Okwa na Akpan na Okra ambao wanaishia Benchi.
Trip ya Dubai wanatumia B.2.

Nadhani hapo Simba kuna ajenda zaidi ya kucheza mpira.
B 26 kibindoni mwa Makolokolo FC aaaah!....mdomo wangu koma [emoji87] [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Adebayo aliomba m 300 tu aje Simba. Manzok naye aliomba hizo hizo badala yake wanasajiri Kocha na Okwa na Akpan na Okra ambao wanaishia Benchi.
Trip ya Dubai wanatumia B.2.

Nadhani hapo Simba kuna ajenda zaidi ya kucheza mpira.
Genta anadai kuna viongozi wajanja wanafanya udalali kwa wachezaji ili wapate zile asimilia
 
Mashabiki wa Simba mliopo Dar na mikoa ya jirani kama Moro na Pwani, kesho mkutane msimbazi mkazozane.

Wale mlioko mikoa ya mbali, basi anzisheni nyuzi humu JF tuje kuchangia mada zenu za malalamiko 😅😅😅
Walioko mbali wakutane kikanda..!! Mfano, Mbeya, Njombe, Iringa na Ruvuma wakutane Makambako. Wa Mwanza Bukoba, Geita, Kigoma, Musoma wakutane Geita mini. Wa kati wakutane Dodoma. etc
 
Back
Top Bottom