FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Timu Yetu Haina Kocha Wa Viungo.

Labda anayemfahamu anitajie jina lake. Wachezaji wanachoka.

Anyways how comes top scorer wa Timu anakaa Bench Dakika 90 bila Kucheza huku Timu ina Struggle Kupata Magori?

Huenda Moo Aliona Hata akitoa hela zake kusajiri wachezaji Washambuliaji watakaa benchi
Timu imechoka kwasababu hao ni binadamu wanahitaji mapumziko. Wachezaji hao hao wamepambana ligi kuu raundi ya kwanza pasipo kupumzika, inatoksa chance ya kuwapumzisha lakini badala ya kupewa muda wapumzike wanapelekwa Dubai kuanza na upya na session za mazoezi ya nguvu na mechi mbili za kirafiki. Wanarudi Tanzania ni mechi bandika bandua kwa ratiba ya ligi kuu na michuano ya kimataifa. Unategemea hawatotoboka?
 
Yanga wao sio binadamu eti..... Hawachoki!!??.....
 
Yanga ilipofiikia michuano ya Mapinduzi wakawapa mapumziko wachezaji wake. Mapinduzi walienda wachache sana wa kikosi cha kwanza. Na hata baada ya kutoka kwwnye Mapinduzi waliendelea na ratiba ya mapumziko.
 
Timu imechoka kwasababu hao ni binadamu wanahitaji mapumziko. Wachezaji hao hao wamepambana ligi kuu raundi ya kwanza pasipo kupumzika, inatoksa chance ya kuwapumzisha lakini badala ya kupewa muda wapumzike wanapelekwa Dubai kuanza na upya na session za mazoezi ya nguvu na mechi mbili za kirafiki. Wanarudi Tanzania ni mechi bandika bandua kwa ratiba ya ligi kuu na michuano ya kimataifa. Unategemea hawatotoboka?
Wakati Simba inasafirisha madawa Dubai si mliwacheka Yanga kwamba wanajifungia tu Avic town?

Program za Yanga zinafanywa na Profesa Nabi yeye ndio anawapa uongozi do and fonts, tofauti na Simba viongozi ndio wanapanga kocha unafuata walichopanga viongozi.

Safari ya Dubai ilikuwa biashara binafsi za watu ndio maana na Mo akakutana na timu Dubai.
 
Nimetoa maoni yangu kama mwana michezo na wala sikutoa kama mshabiki wa Simba.
 
Simba walitakiwa kusajiri wachezaji wanne tu msimu uliopita yaani, Adebayo, Manzoki, Phili na Aziz K.
Na kuwa acha Banda na Watara.

Badala yake wakajaza wachezaji wa Kimataifa ambao hawakidhi kiwango
Ndio maana nikasema, huenda kuna ajenda nyingine zaidi kucheza mpira.
Pale Simba.
Pre season unatumia B.2 wachezaji wa maana hamna. Badala yake unasajiri Kocha.
Kuna kitu kinaendelea pale kwenye Bodi ya Simba.

Kama Wamemsajiri Phiri ambaye tulikuwa tunamlilia kama Manzoki na Adebayo Na Bado Phiri Anakaa Benchi Dakika 90 huku timu ikihangaika kupata Matokeo unadhani hiyo ni Akili?

Pengine hata hao Wachezaji wangekuja Wangekaa Tuu Bench Kama Anavyo Kaa Moses Phiri
 
Beki za Simba zinajisahau sana.
Magoli yote wanafungwa kwa Kuzubaa.
Mechi na Raja ni goli la tatu pekee ndio lilikuwa goli la juhudi.
Goli la Azam ni la kuzubaa, Goli la CAF Champions ni la Kuzubaa.

Na ikitokea Kona au Faulo ndio kabisa Mabeki wanaacha washambuliaji wanaruka Freeheda.na kufunga.

Ki ujumla Beki ya Simba inahitaji kujifunza zaidi.
 
Yanga ilipofiikia michuano ya Mapinduzi wakawapa mapumziko wachezaji wake. Mapinduzi walienda wachache sana wa kikosi cha kwanza. Na hata baada ya kutoka kwwnye Mapinduzi waliendelea na ratiba ya mapumziko.
Simba hawakuwapumzisha !!?? Walienda wote mapinduzi!??
 
Ndio walienda wote Mapinduzi ila hawakucheza wote. Wewe labda kwa akili yako ukisikia mapumziko unaelewa ni swala la kutocheza mpira kwa siku moja au mbili au tatu. Labda wewe unayeona wamepumzishwa labda nielekeze walikuwa wamepewa siku ngapi za mapumziko?
 
Hahahaa. Ila bundi amejua kuwazengea sana Mtani.
😂😂😁😄
Anatuzengea kisha tunamkaribisha na kumfuga.

Tunavuna sanaa zetu katika usajili. Maana tuliaminishwa Adebayor, akaja Manzoki. Hivi vichapo ni matokeo ya sana na ngoja tulinywe kweli kweli.
 
Hiki ndio mlifuata Dubai?
Yeah, si mbaya kupumzika, maisha yenyewe mafupi. Huwa namsifu sana Morrison, ikitokea break ndogo sijui ya Mapinduzi Cup au ya michezo ya timu za taifa, yeye anajipa ruhusa huyoo mapumzikoni Ghana. kwa nini ajichoshe wakati akienda au asipoenda bado ataingiziwa 23M zile zile kila mwezi? Na ruhusa aliyojipa ikiisha anajiongezea wiki mbili na hela analipwa! 😀
 
😂😂😁😄
Anatuzengea kisha tunamkaribisha na kumfuga.

Tunavuna sanaa zetu katika usajili. Maana tuliaminishwa Adebayor, akaja Manzoki. Hivi vichapo ni matokeo ya sana na ngoja tulinywe kweli kweli.
Hahahaa. Yatakwisha lakini.
 
Back
Top Bottom