changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Timu imechoka kwasababu hao ni binadamu wanahitaji mapumziko. Wachezaji hao hao wamepambana ligi kuu raundi ya kwanza pasipo kupumzika, inatoksa chance ya kuwapumzisha lakini badala ya kupewa muda wapumzike wanapelekwa Dubai kuanza na upya na session za mazoezi ya nguvu na mechi mbili za kirafiki. Wanarudi Tanzania ni mechi bandika bandua kwa ratiba ya ligi kuu na michuano ya kimataifa. Unategemea hawatotoboka?Timu Yetu Haina Kocha Wa Viungo.
Labda anayemfahamu anitajie jina lake. Wachezaji wanachoka.
Anyways how comes top scorer wa Timu anakaa Bench Dakika 90 bila Kucheza huku Timu ina Struggle Kupata Magori?
Huenda Moo Aliona Hata akitoa hela zake kusajiri wachezaji Washambuliaji watakaa benchi