Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Usikomae na maisha duni, ukipata nafasi nenda kapumzike hata Serengeti kama Dubai kuna gharamaHii timu ilienda Dubai kufanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikomae na maisha duni, ukipata nafasi nenda kapumzike hata Serengeti kama Dubai kuna gharamaHii timu ilienda Dubai kufanya nini?
Kila area Simba ilikua vzr kasoro pale langoniSana tulifika sana na on target zimeonekana
Acha roho mbaya Chifu [emoji87][emoji847]Kesho zinaenda kuwa nane kamili.View attachment 2525526
Wameshazoea chai na mihogo haoUsikomae na maisha duni, ukipata nafasi nenda kapumzike hata Serengeti kama Dubai kuna gharama
Huyo nilyemquote alikusimanga sijapenda nikakuomba radhi kwa niaba mamaaUmefanyaje tena baba?
NIliwaambia Dube anawaweka tena, na kawaweka kweliHehehehehe
Kula tu ndio lazima,vingine vyote ni ziada😂
Asante sana kwa kunipa moyo mtani rafiki...kwa sasa nitalala japo upande mmoja tuHuyo nilyemquote alikusimanga sijapenda nikakuomba radhi kwa niaba mamaa
Alisemaje mkuuLeo kweli nimeamini maneno ya Ibrahim Ajibu.
Kachanjiwa kwa ajili ya Simba tuu yule fwalaNIliwaambia Dube anawaweka tena, na kawaweka kweli
Lazima amsapoti JKHata Gharib wa GSM ni mnyama, ila biashara popote
Huo upande kama utageukia kwangu yatosha mama😍Asante sana kwa kunipa moyo mtani rafiki...kwa sasa nitalala japo upande mmoja tu