Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeitwa kushabikia simba?Sema kushabikia hili litimu kunahitajo moyo sana 🤣🤣🤣
Aende huko Nya FC....Umeitwa kushabikia simba?
Ungekuwa wewe ungehama kama Manara 😂😂 😂Sema kushabikia hili litimu kunahitajo moyo sana 🤣🤣🤣
kinyumenyume simba coach😂😂😂Si mlisema Simba haina bsi, sasa dereva wa basi gani tena? 😂😂😂
Piga msosi kwanza 😀Nani huyooo??
Bahkresa ni mwanachama wa Simba damudamuMuwashukuru sana Azam kwa kujifunga.....
Hahahahaa hayaPiga msosi kwanza 😀
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyau nyau/Kolowizards/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume FC.Kinyumenyume fc Ngada fc Mikia fc Makolo fc paka fc nashangaa mtu anawezaje kushabikia hii mikia
Huwa wana vihelehele ngoja kesho wachapwe utaona watakavuopotea.Aende huko Nya FC....
Ulitaka waweke kipa asiye Bora!?..mmebebwa Leo,yule mgonjwa akili alistahiki red,mshika kibendera akatendea haki pesa aliyokulaTumedhulumiwa ushindi kutokana na ubora wa Kipa wa upinzani
mwiko nyuma ni Yanga mkuu, usijisahaulishe 😂kinyumenyume simba coach
Ndio nini sasa hii?Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyau nyau/Kolowizards/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume FC.
Kweli zile B 26 ni za mchongo [emoji3]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hata Gharib wa GSM ni mnyama, ila biashara popoteBahkresa ni mwanachama wa Simba damudamu