FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

😂😂😂😂😂
Screenshot_20230221-211903.jpg
 
Makolo mko na bahati sana Leo, ilikuwa mnachapwa,, beki wa Azam kawasaidia sana dadeq
 
Huyu kocha ni wa kufukuza apatikane kocha makini mithili ya Nabi, usajili wa hovyo wachezaji wengine wa kufukuza.Fukuza huyu Sakho apatikane mtu makini kama Moloko, Fukuza hii chama apatikane mtu makini kama Farid wa Yanga, Fukuza hii Kanoute tfuta mtu makini kama Aucho, Fukuza hiyo Kapombe apatikane mtu makini kama Kibwana.Tatizo pesa hakuna na Bilioni 20 za uongo uongo! Huyu Mo naye aondoke
 
Back
Top Bottom