Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Simba haikusajili wachezaji wa maana. Kocha tutafukuza mpaka waishe.Yaani wewe unaimani na kocha? Mabadiliko hapo ni kocha kuondoka. Mimi sikuona sababu ya uongozi wa Simba kuleta kocha katikati ya msimu.