Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Hongera kwa kunusurikaSo far so good Simba imepambana
Hongereni maana mngelia lia sanaNdio mbona wewe pumzi imekata kiaina[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kupata sare? gape ni point ngapi hapo na mabingwa wa nchi?Siwadai
Kuna mtu kasema wanatafuta sare ya kwenda nayo UgandaEti timu gani hii wanashangilia sare hapa?
vp amefunga nani?
Kabisa..kuna siku zinakuwa mbaya ndio kama hiziSo far so good Simba imepambana