Tunamaliza ligi kwa Kishindo.
Uongo au kichekeshoMuda huu wazee wa kimila wakiongozwa na Saidoo wamekatisha hapa na fisi kwenda kuweka mitego uwanjani
Tunamaliza ligi kwa Kishindo.
#nguvumoja#
Mna roho mbaya sana nyie watuLolote baya limkute mnyama.
Kuna dalili za drow hapaLeo ndo itajulikana......atapigwa mtu mpaka achakae....hadi mseme kuna 'Match Fixing' .....! Poleee sana 'Jeketiii' Tanzania.