rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Mgunda anatembea na upepo, gemu na Kagera baada ya kuzidiwa alishindwa kubadili mbinu hata gemu na kmc pia alishindwa kuwa na mbinu mbadala na kufanya mabadiliko sahihi wanampigia debe sidhani Kama wanajua mpira unachezwaje wengi wamejikita kwenye matokeoLicha ya Simba kuwa mbovu, ila Mgunda ana uwezo mdogo sana wa kiufundi.
Ni aina ya makocha ambao hawana 'Mbinu' zaidi ya kuhamasisha wachezaji.