Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Si mlisema ni Guardiola?Licha ya Simba kuwa mbovu, ila Mgunda ana uwezo mdogo sana wa kiufundi.
Ni aina ya makocha ambao hawana 'Mbinu' zaidi ya kuhamasisha wachezaji.
Au bas nikshasahau, kumbe mlisema ni Guardiola-mnene 😂😂😂