Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Simba basi tena!
So disappointed! 🚮🚮🚮🚮
So disappointed! 🚮🚮🚮🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ManaraZa kuokoteza na Mbwembwe kibao Ila Ahmed Ally ni Yanga lialia Yanga damu yupo Simba kikazi tu leo game ikiisha anaenda kuchekea CHOONI
Hahahaa basi mtani ashinde 11 : 0Azam tayari kapiga vyuma viwili HUKO MOTO imeongezeka Mikia inaungua sana
Aziz Ki kapiga Goli 3 HIO ni hat-trick😂😂😂maskini thimbaaa Kombe Lao la fei nalo wamelikosa Sa sijui itakuwaje
Zimebakia dakika 10 Pira liisheHahahaa basi mtani ashinde 11 : 0
Makolo ni timu kubwa lolote linawezekanaKwa muda upi?
🥵Tujifariji kidogo
View attachment 3002008
Bado hamjasemaLicha ya Simba kuwa mbovu, ila Mgunda ana uwezo mdogo sana wa kiufundi.
Ni aina ya makocha ambao hawana 'Mbinu' zaidi ya kuhamasisha wachezaji.
😂😂
Mwenye kulaumiwa always ni Mangungu. Anafuatiwa na Trai Ageini. Mo yeye haguswi! 😁😁😁Kihasibu hii imekaaje hii! Yaani unaikosa nafasi ya pili, na Fei Toto anakosa kiatu cha ufungaji bora!
Nani alaumiwe?
Mwasibu OKW BOBAN SUNZUKihasibu hii imekaaje hii! Yaani unaikosa nafasi ya pili, na Fei Toto anakosa kiatu cha ufungaji bora!
Nani alaumiwe?