FT: Simba 2-0 JKT Tanzania | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 28/05/2024

Kitu kizito kimeiangukia Simba kichwani; wakamwombe msamaha sana Jean Baleke popole aliko.

Azam wamepata bao la kuongoza; sasa hivi wanongoza kwa point na GD ya mabao 10.

Nasubiri sana press conference ya Ahmed Ally baada ya mchezo wa leo!
 
Wenzao wote wanakiwasha isipokuwa wao tu. Simba sijui wakoje.

Azam keshafunga huko basi nyie chezeni tu. Shwaiini!

Screenshot_20240528_173221.jpg
 
Kitu kizito kimeiangukia Simba kichwani; wakamwombe msamaha sana Jean Baleke popole aliko.

Azam wamepata bao la kuongoza; sasa hivi wanongoza kwa point na GD ya mabao 10.

Nasubiri sana press conference ya Ahmed Ally baada ya mchezo wa leo!
Azam kashindilia Misumali Miwili HUKO
 
Back
Top Bottom