Mgunda anatembea na upepo, gemu na Kagera baada ya kuzidiwa alishindwa kubadili mbinu hata gemu na kmc pia alishindwa kuwa na mbinu mbadala na kufanya mabadiliko sahihi wanampigia debe sidhani Kama wanajua mpira unachezwaje wengi wamejikita kwenye matokeo
Ni matokeo yanayotia uchungu kwa Wanasimba lakini upande mwingine ni mazuri maana yatawafumbua macho uhuni unaofanywa na mwekezaji, viongozi na wanachama ambao wanatuchagulia viongozi wabovu.