FT: Simba 2 - 0 Ken Gold | NBC PL | KMC Complex | 18.12.2024

FT: Simba 2 - 0 Ken Gold | NBC PL | KMC Complex | 18.12.2024

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Ubaya Ubwela!!

Mnyama Mkubwa, Simba Sports wanashuka dimbani kumenyana na Ken Gold kutoka Mbeya katika dimba la KMC majira ya Saa 10:00 jioni.

Ikumbukwe, Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyopata ushindi kwenye michuano ya kimataifa weekend iliyopita, baada ya kumnyoa Sfaxien 2-1.

Simba inatarajiwa kuendeleza ushindi katika safari yake ya kurejea kileleni. Wenyewe wanasema KMC Complex ni uwanja wa kujidai kwa Jean Charles Ahoua.

Mechi ni Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD na live updates zitawajia hapa!
IMG_4650.jpeg
 
Back
Top Bottom