Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #181
Hao ni wengne mimi kwa mtazamo wangu hakuna mchezaji hapoHivi mbona siwaelewi, watu walikuwa wanamlilia Chasambi acheze leo takataka tena? Nani sasa anafaa?
Mkuu haujui boluuuuuuuuuuuuuu.✊️tulia wewe
Itakua timu ya mwamposaaaHawa Simba huwa hizi huruma wanazitoa wapi? Au hii ni timu ya walokole?
Mwananchi mwenzangu kuwa na heshima aisee! Unafikri sisi tulivyohangaika kuwafunga KenGold makolo yatahangaika hivyo?Kila la heri Ken Gold
Kiongozi kaamua kuwa muwazi/mkweli leoNgap ngap kiongozi?
Makoloooooooo hoye
Kuna straika licha ya kupelekwa kwa waganga bado kufunga ni mtihani kwake