Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #201
Huyu pasta ameanza kuitumia hii kama shuhuda kwenye unabii wake.
Naunga mkono hoja mkuu π π πHuyu pasta ameanza kuitumia hii kama shuhuda kwenye unabii wake.
ππππ
Sana miyeyusho sana huyomutale kazingua
Utopolo wa 4ππππAs it standsView attachment 3179642
Utopolo mnahangaika kweli.
View attachment 3179659
Simba walipigwa hapa, amepoteza confidence kabisa. Its take time kuirudishaIla huyu Mutaleπ₯Άπ₯Άπ₯Ά
Kuna wakati huyu Fadlu kama ana mawenge vile. Timu ilikuwa inacheza kwa kasi, makosa machache, KenGold walikuwa wamejazana kwao wakilinda tu. Kulikuwa na dalili zote za kumpiga mkono. Kaenda kuivuruga sasa hivi tunakoswa koswa sisi. Kweli akili si nywele.Chasambi & Kijili - Out
Mutale & Tshabalala - In
Kesho atapanda kwa uweza wa makosa ya kibinadamuUtopolo wa 4ππππ