FT: Simba 2 - 0 Ken Gold | NBC PL | KMC Complex | 18.12.2024

Sub zake huwa si za kiufundi sana, ni kama anaingiza na kutoa wachezaji ili tu wengine wacheze.
 
Alafu Wachezaji wanapoteza muda,ari ya kutafuta magoli zaidi ipo chini au sijui ndio wamezidiwa mbinu na Wapinzani hata sielewi.Tukija kukutana na timu kama Singida au Tabora roho si zitakuwa mikono.
Yes, ubaya wa woga ni woga wenyewe. Hizi timu dhaifu zikijaa kwenye mfumo unazipa za uso kwelikweli ili wengine wajenge woga.
 
Itewe, Godima, Kiwanja hadi Itumbi tunajiandaa kuikarabati timu yetu ya Ken Gold
Tajiri wenu si naskia alitimua wachezaji karibia wote walioipandisha daraja timu.

Hiyo ilikuwa mistake kubwa alifanya.

Msekwa, Godwin Chiwango, Ramadhan Alufan. Hawa ndio waliokuwa wanaupiga mwingi sana hapo Chunya miaka ya 2010-2013
 
Ikumbukwe, Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyopata ushindi kwenye michuano ya kimataifa weekend iliyopita, baada ya kumnyoa Sfaxien 2-1.📌❤🔨❤📌
 
[emoji881]
Ushindi ni lazima.
[emoji120][emoji120]
 
Kila la kheri Kalpana
Nilikua mbali kipenzi mtani...nadhani kuanzia kesho tena sitakua online...nitakua nadokoa dokoa...
Heri ya sikukuu ya christmass and happy new yr in advance..
Kuhusu Simba kwa sasa sina hofu kabisa na timu yangu..
Tena waliniboa why washindwe kufunga hata 7 za Horoya...
Ahahahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…