EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Mimi nataka kumuona mpanzu. Ila atapewa nafasi ya kuchezaNaangalia hii mechi kwa kuwa Mzamiru kiungo punda yumo
Mechi ya Tz prison duu iliniuma Sanaa 😊Hizi mechi kutozitilia maanani misimu iliyopita ndizo zilitunyima ushindi.
Ilikuwa mara droo mara tumepigwa. Ile mechi ya Namungo tuliyoweka benchi wachezaji muhimu na kimataifa tukapigwa pia, inaniuma mpaka Leo.
😁😁Mechi ya Tz prison duu iliniuma Sanaa 😊
Ndicho kipindi nimevunjika mguu so nikawa home tu..nilicheki mechi nyingi sanaa
Wife mpaka akawa jua kina FRED maana nilikua namlalamikia Sana kina ONANA pia.
Tunasubiri LinkKwa wale wa ku-stream game ikikaribia nitaweka link hapa
Tunasubiri Link
Ndio niniHatutaki mkuu ubaya ubwela.
Amechoma😀😀Mzamiru ni Mzamiru tuu
Sio wa kumuwekea dhamanaAmechoma😀😀