FT: Simba 2 - 0 Ken Gold | NBC PL | KMC Complex | 18.12.2024

FT: Simba 2 - 0 Ken Gold | NBC PL | KMC Complex | 18.12.2024

Hizi mechi kutozitilia maanani misimu iliyopita ndizo zilitunyima ushindi.

Ilikuwa mara droo mara tumepigwa. Ile mechi ya Namungo tuliyoweka benchi wachezaji muhimu na kimataifa tukapigwa pia, inaniuma mpaka Leo.
Mechi ya Tz prison duu iliniuma Sanaa 😊
Ndicho kipindi nimevunjika mguu so nikawa home tu..nilicheki mechi nyingi sanaa
Wife mpaka akawa jua kina FRED maana nilikua namlalamikia Sana kina ONANA pia.
 
Mechi kama hizi Simba inatakiwa ifunge mabao mengi ili kuweka gape ya GF kubwa dhidi ya wapinzani ambao tupo nao kwenye race ya ubingwa
 
Back
Top Bottom