Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Sana tu...Mashabiki wa Uto hawakosekani hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana tu...Mashabiki wa Uto hawakosekani hapa
No stressUbaya Ubwela!!
Mnyama Mkubwa, Simba Sports wanashuka dimbani kumenyana na Ken Gold kutoka Mbeya katika dimba la KMC majira ya Saa 10:00 jioni.
Ikumbukwe, Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyopata ushindi kwenye michuano ya kimataifa weekend iliyopita, baada ya kumnyoa Sfaxien 2-1.
Simba inatarajiwa kuendeleza ushindi katika safari yake ya kurejea kileleni. Wenyewe wanasema KMC Complex ni uwanja wa kujidai kwa Jean Charles Ahoua.
Mechi ni Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD na live updates zitawajia hapa!
View attachment 3179341
si ilisemakana mpanzu anaweza kuwa kwenye kikosi leoStarting XIView attachment 3179533
Katoka kujeruhi mtu
Kila kheri kwa chochote kitakachowakuta.Kila la heri Ken Gold
si ilisemakana mpanzu anaweza kuwa kwenye kikosi leo
Tuwekee vikosi vya leoUbaya Ubwela!!
Mnyama Mkubwa, Simba Sports wanashuka dimbani kumenyana na Ken Gold kutoka Mbeya katika dimba la KMC majira ya Saa 10:00 jioni.
Ikumbukwe, Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyopata ushindi kwenye michuano ya kimataifa weekend iliyopita, baada ya kumnyoa Sfaxien 2-1.
Simba inatarajiwa kuendeleza ushindi katika safari yake ya kurejea kileleni. Wenyewe wanasema KMC Complex ni uwanja wa kujidai kwa Jean Charles Ahoua.
Mechi ni Saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD na live updates zitawajia hapa!
View attachment 3179341
Hujamuona Alexander Mpanzu? 😂😂😂si ilisemakana mpanzu anaweza kuwa kwenye kikosi leo
Mpaka iandikwe Elie, na Simba wamefanya makusudi kuandika hivyo.Hujamuona Alexander Mpanzu? 😂😂😂
Niende kibanda umiza sasaMpaka iandikwe Elie, na Simba wamefanya makusudi kuandika hiv
Naangalia hii mechi kwa kuwa Mzamiru kiungo punda yumoNiende kibanda umiza sasa
Ubaya ubwela.😁Nguvu moya