Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hoja na uzee unachangiaPamoja na hayo uwezo wake mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja na uzee unachangiaPamoja na hayo uwezo wake mdogo
Anafikiri goli la penati halina thamani kama lilivyo goli ya kawaida tuInawezekana huyo jamaa hajui Sheria za mpira 😀😀
hapo sio suala la kujua sheria za mpira, penalt nyingine za kutengeneza/zamchongo mzee!!Inawezekana huyo jamaa hajui Sheria za mpira 😀😀
Na La pili Vipi ??Penati FC
Thibitisha kama ilikuwa ya mchongohapo sio suala la kujua sheria za mpira, penalt nyingine za kutengeneza/zamchongo mzee!!
Sasa ndiyo ulie!?Dunian...makolo wanaongoza Kwa penalty goals [emoji23][emoji23]
Mbona mods Hawa update matokeo.
🤣🤣Kibu miyeyusho sana 😀 😀
Ngoja kwanza wanakula chakula cha jioni now 😀😀😀 hata wasipoweka Simba SC ana goli mbiliMbona mods Hawa update matokeo.