Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Mtibwa wana ratiba ngumu sana halafu ndio wanaburuza mkia. Wakitoka kucheza na Simba wanakutana na Azam, akitoka kwa Azam anacheza na Yanga.Leo simba hasira watamalizia kwa mtibwa.
Leo makolo mtafunga zaifi ya goli tatu
Leo mgunda anataka arejeshe heshima yake msimbazi
Nawaonea huruma mtibwa
simba ndio uchochoro tu Mtibwa wapambane wachukue point tatu leo maana hizo mechi nyingine ni maji ya shingo.Mtibwa wana ratiba ngumu sana halafu ndio wanaburuza mkia. Wakitoka kucheza na Simba wanakutana na Azam, akitoka kwa Azam anacheza na Yanga.
Njia pekee ya Simba kushika nafasi ya pili ni kushinda mechi zake na Azam kupoteza.Kila la kheri timu yangu Nguruwe FC tuweze kupata ushindi leo ili tuweze kutoka nafasi ya 3 hadi ya 2
Siku hizi timu hii ni kama bichwa la mwendawazimuMatch Day.
NBC Premier League.
Simba vs Mtibwa
Azam Complex
04.00 PM
Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa ni mchezo wao wa 23 kwa msimu huu.
Ungana nami kwa updates mbali mbali.View attachment 2979499
View attachment 2979505