Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Hii mechi tunashinda acheni kujichekesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Yanga juzi ulianzishwa saa ngapi?Poor 5imba,siku hizi nyuzi za match zinaanzishwa asubuhi badala ya watu kugombania kuanzisha saa sita usiku
ShindwaSiku nyingine ya majonzi kwa mashabiki wa Simba. Hakuna kupoa
Usikimbie baadaeKila la kheri mtibwa sukari
Kama kawaida yangu sikimbiagi Mimi wewe ndio unakimbia kaka kama Uzi ulio pita ulinikimbia 😁Usikimbie baadae
Wa Yanga juzi ulianzishwa saa ngapi?
Tukiwa na Namungo? Acha kujitafutia dhambiKama kawaida yangu sikimbiagi Mimi wewe ndio unakimbia kaka kama Uzi ulio pita ulinikimbia 😁
Ndio kaka 😂😁😁 hadi ile ya Simba na Yanga ulikimbiaTukiwa na Namungo? Acha kujitafutia dhambi
Hauwezi kuona maana mna mwiko nyumaMkuu tumbili haonagi nanii yake?🤣🤣🤣
Mbona unatapatapaNdio kaka 😂😁😁 hadi ile ya Simba na Yanga ulikimbia
Mimi wa kwanza wewe 3 😂😁😁Mbona unatapatapa
🐸🐒Mimi wa kwanza wewe 3 😂😁😁