FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

Furahi sasa
20240421_071644.jpg
 
Poor 5imba,siku hizi nyuzi za match zinaanzishwa asubuhi badala ya watu kugombania kuanzisha saa sita usiku
Hata zile tambo kwamba eti nyuzi za kuhusu mechi zao zinatembea hazipo siku hizi zimekumbwa na mdororo. 😂
 
Match Day.
NBC Premier League.
Simba vs Mtibwa
Azam Complex
04.00 PM

Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa ni mchezo wao wa 23 kwa msimu huu.

Ungana nami kwa updates mbali mbali.View attachment 2979499
View attachment 2979505


Vikosi vinavyoanza leo.View attachment 2979814View attachment 2979816
SIMBA ANASHINDA NA GOLI 3 AMA ZAIDI FT

......HT OV .0.5..at list goli 1
FT OV 2.5 goli 3 ama zaidi
 
Back
Top Bottom