FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

Simba ov 0.5 ht kabooooooom haya ft ov 2 .5 goli 3 ama zaidi
 
FRED/NTIBAYOKIZA /KALUA KUONGEZA MENGINE MAWILI
 
Match Day.
NBC Premier League.
Simba vs Mtibwa
Azam Complex
04.00 PM

Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Simba itawakaribisha wageni wao timu ya Mtibwa katika mechi ya NBC premier league ikiwa ni mchezo wao wa 23 kwa msimu huu.

Ungana nami kwa updates mbali mbali.View attachment 2979499
View attachment 2979505


Vikosi vinavyoanza leo.View attachment 2979814View attachment 2979816

Dk 20' Bado ubao unasoma 0:0
Dk 32' Simba 0: Mtibwa 0
Dk 33' Saido anapata kadi ya njano.
Dk 35' Goaal Simba wanapata goli kupitia Fredy Michael
Hii sare nyingine ya leo tunaomba ije na mtandio wake😀😀😀
 
Wanastahili kushuka daraja hawa, hata mipango hawana
Yani ni zero kabisa. Wanachojua ni kukaba tu Simba SC wakiwa na mpira, wao wakiupata huoni kabisa kama wanaweza kutengeneza shambulizi lolote la maana.
 
Back
Top Bottom