FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

Simba mngewaachia point 3 Mtibwa, Yanga tukawaachia na Azam akawaachia hizi point 9 zingewafaa jumlisha droo kadhaa watakazopata ingewanusuru kushuka daraja. Hiki ni kiwanda cha wachezaji ambacho hamna mpenda soka anafurahi kuona wakiondoka.
 
Simba tunaihitaji nafasi ya pili, ipo hatarini kuchukuliwa na Azam, hatuwezi fanya huo utopolo. Yanga fanyeni mkifanikiwa kwaokoa tengenezeni bango.
 
Matokeo ya mchezo huu yamenipa mfadhaiko mkubwa wa moyo. Yaani leo sitakuwa na watu wa kucheka mtaani kwani madunduka wangu wote watakuwa wanachekelea. Nimeshazoweza kuwakuta wananun'gunika halafu mimi huwacheka, lakini leo itabidi nibadili njia. Mfadhaiko sana huo.
 
Simba mngewaachia point 3 Mtibwa, Yanga tukawaachia na Azam akawaachia hizi point 9 zingewafaa jumlisha droo kadhaa watakazopata ingewanusuru kushuka daraja. Hiki ni kiwanda cha wachezaji ambacho hamna mpenda soka anafurahi kuona wakiondoka.
Ni uzembe wao wenyewe hao Mtibwa. Nahisi nao wana shida kwenye uongozi wao. Wanashindwa kwenda hapo Congo wakapata wachezaji wazoefu kama 3 wakawachanganya na madogo wanaowakuza?
 
Wenzangu mnamwona mwamuzi namba 2 au mmefocus kwenye boli tu?
Mwenye jina lake tafadhali nimfollow kabisa maana mimi napenda wanawake waliojaaliwa neema za mnyaazi Mungu.
Bila picha post yako ni batili
 
Back
Top Bottom