FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

Je simba watarudisha matumaini ya wanasimba au ndiyo uwaomgeazea machungu?
 
Mtibwa hawaogopi kucheza na Simba, ila waambie wakutane na Yanga uone jinsi wachezaji wao watakavyotoa udhuru.
 
Hiki kibeki kinaitwa kazi sijui nani alimleta Simba aisee hana nguvu mchecheto muda wote msimu ukiisha arudi alipotoka tu
 
Back
Top Bottom