FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
FULL TIME: Simba imeshinda kwa magoli 2-0
90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza.
85' Dejan anampa pasi nzuri Sakho, shuti linatoka nje kidogo ya lango.
83' Phiri anatoka anaingi Dejan.
75' Shangwe za mashabiki zinaongezeka baad aya kumuona Dejan akipata misuli.
70' Simba wamepunguza kasi,
61' Nyasa wanapata kona.
55' Simba ni kama wameamka, wameongeza kasi ya mchezo.
53' Simba wanafanya shambulizi kali Phiri anashindwa kuitumia nafasi vizuri.
Phiri anaipatia Simba goli la pili akipiga shuti kali baada ya kupokea pasi kutoka kwa Okrah.

50' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

48' Big Bullets wanafanya shambulizi kali, shuti kali linapanguliwa na Manula inakuwa kona.

46' Kasi ya mchezo imeanza mdogomdogo
Kipindi cha pili kimeanza

MAPUMZIKO: Simba wanaongoza goli 1-0 kwa jumla wakiwa mbele kwa magoli 3-0 kutokana na ushindi waliopata katika mchezo wa kwanza.

45' Inaongezwa dakika moja ya nyongeza
37' Mchezo unacheza katikati ya uwanja muda mwingi.
35' Okrah anawatoka walinzi wa Nyasa lakini shuti lake linapaa juu ya lango.
30'Big Bullets wanafika langoni mwa Simba lakini wanacheza faulo.

Phiri anaipatia Simba goli la kwanza akimalizia pasi nzuri ya Chama.

29' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

25' Kasi ya mchezo imepungua timu zote zikipeana zamu kumiliki mpira.
21' Big Bullets wanapata kona, inapigwa lakini haina faida.
15' Okrah anachezewa faulo, mchezo unasimama kwa muda.
12' Big Bullets nao wanapiga pasi kadhaa za kujipanga.
10' Timu zote zinafunguka lakini ni Simba ndio wanaomiliki mpira muda mwingi.
6' Okrah anachezewa faulo pembeni la eneo la 18 la Nyasa.
2' Simba wanafika langoni mwa Big Bullets lakini Chama anachelewa kufanya maamuzi, anampa pasi Mzamiru ambaye anapiga shuti linatoka nje.

Mchezo umeanza

Kikosi cha Simba katika mchezo wa leo
Fc762_SXwAAWxyg.jpg

Live updates zitakuwa hapa...

Leo majira ya saa 10:00 jioni, katika dimba la Benjamin Mkapa, Simba watashuka dimbani katika mchezo wa pili wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, ambapo watamenyana na Nyasa Big Bullets ya Malawi.

Ikumbukwe, katika mchezo wa awali, Simba wakiwa ugenini waliibuka na ushindi wa mabao mawili kwa bila.

Hivyo, Simba wanatakiwa kucheza kwa tahadhari ili waweze kufuzu raundi inayofata.

Mechi itakuwa live kupitia Azam Sports 1HD
 
Leo majira ya saa 10:00 jioni, katika dimba la Benjamin Mkapa, Simba watashuka dimbani katika mchezo wa pili wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, ambapo watamenyana na Nyasa Big Bullets ya Malawi.

Ikumbukwe, katika mchezo wa awali, Simba wakiwa ugenini waliibuka na ushindi wa mabao mawili kwa bila.

Hivyo, Simba wanatakiwa kucheza kwa tahadhari ili waweze kufuzu raundi inayofata.

Mechi itakuwa live kupitia Azam Sports 2HD

Live updates zitakuwa hapa...
FT
Simba 1-3 NB Bullets
 
Pamoja Mkuu..tuko tayari
 
View attachment 2360540
Red Arrows tuletee hawa mabwana tuwalipe Uto
Wale vichwa vibovu walipangiwa utelezi nao wanajisifu na wachambuzi uchwara,

Zalan hata angepagiwa na Ihefu, basi kwa uchache Ihefu angeshinda 6 - 1, sasa hao waliopanda mtumbwi wa vibwengo wanashangalia kama fisi kaona mzoga
 
Tusubiri round inayofuata.
 
Back
Top Bottom