FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

SIMBA forever[emoji173]
giphy.gif
 
Hivi umepandisha kabisa matako yako kisa kuwafunga ZALAN FC? Ni swala la mida tu ila swala la makundi msahau kabisa, na hili wala sio swala la kusubiria maajabu ya mpira.
Wewe ndio mmiliki wa makundi kiasi kwamba una amua nani aende nani abaki?
 
Mashabiki wa simba bhana! Ngoja timu ifanye vibaya sasa!! Kocha Mgunda uwezo wake mdogo!! Wachezaji hawajitumi!! Matola aondoke!! Barbara amuachie Magori nafasi ya U CEO!!

Tunawaangalia tu mnavyo jimwambafai.
giphy.gif
 
1' Simba wanapoteza nafasi ya kuandika goli la mapema...Mzamiru anapiga shuti lisilolenga lango
 
Mpira upo na kasi sana sio kama bonanza la jana usiku
 
Back
Top Bottom