FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Hivi umepandisha kabisa matako yako kisa kuwafunga ZALAN FC? Ni swala la mida tu ila swala la makundi msahau kabisa, na hili wala sio swala la kusubiria maajabu ya mpira.
Kumbuka kurudi hapa kusema ulikosea hizi kauli
 
Kitendo cha kumiliki mpira kumeifanya Simba kujiamini kupita kiasi. Itatugharimu. Sijui match analyst na psychologist wa Simba ni akina nani na wana kazi gani. Kibu tayari yuko off na mchezo wamuingize Banda haraka biashara iishe. Tunaendelea kushangaaa.
 
Back
Top Bottom