makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hapa kuna la tatu hapa
Kwahiyo wameshalirudisha?Hirizi pumuzi
Mmmh nipo banda umiza nimemwagiwa maji c mchezo bora mpira ningeangalia nyumbaniBwana eeeeeh 🥹🥹
😄🤣😀Huku onana kule ayubu leo watu wataficha wapi sura zai
Wanaompondaga Onana wanasemaje
Huyu huyu anayecheza nayeNianzie Kwa kucheka ,hivi Simba atamfunga nani Kwa staili anayocheza?
Dah! Kazi wanayo. Yaani unashangilia magoli, huku unagugumia kwa maumivu. 😁Huku onana kule ayubu leo watu wataficha wapi sura zai
Hamna mchezaji umoWanaompondaga Onana wanasemaje
Huwa tunabadilika kutokana na mazingira mkuuMashabiki mlio kuwa mnamponda Onana leo mtazificha wapi sura zenu!!! 🤭