FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Angalia hata market value

Ayoub thamani yake sokoni ni Euro 1.20MView attachment 2847149

Wakati Diarra ni Uero 200K
View attachment 2847150

Thamani ina determine ubora wa mchezaji
Wewe nae mbona huwa nakuona una akili zako?
Utaifa na management ya mchezaji husika vina part kubwa katika market value.

Pia, market value sio sababu pekee ya kuamua ubora wa mchezaji.
Kwani hujawahi kuona wachezaji wakali wakilipwa kiduchu kuliko wasio na lolote mbele yao? We wa wapi?

Unakumbuka kwa misimu karibu mitatu Sadio Mane ndio alikuwa injini ya Liverpool? Market value yake iliendana na aliokuwa nao kikosini?
Nimekushusha vyeo.
 
Hawa ni wydad au kagera Mbona wanacheza Kama wamechoka sana
Ndiyo sababu gwajeng waliwapiga kwao na asec naye akajipigia
 
Wewe nae mbona huwa nakuona una akili zako?
Utaifa na management ya mchezaji husika vina part kubwa katika market value.

Pia, market value sio sababu pekee ya kuamua ubora wa mchezaji.
Kwani hujawahi kuona wachezaji wakali wakilipwa kiduchu kuliko wasio na lolote mbele yao? We wa wapi?

Unakumbuka kwa misimu karibu mitatu Sadio Mane ndio alikuwa injini ya Liverpool? Market value yake iliendana na aliokuwa nao kikosini?
Nimekushusha vyeo.

Nifah umeshaolewa ?
 
Back
Top Bottom