Katika hili niwe mkweli hana makosa ila mimi mwenyewe ndio nilimzingua, huenda tungekuwa tumeoana zamani!Kama kipindi chote hicho hajakamilisha mimi sijui kama yupo serious. Katika nafasi yake, nisingechelewa kabisa
Wana upana gani magoli yote zaidi ya 30m,hao mabeki labda wana undugu na Unju.Nimesema mabeki sijasema beki uwe muelewa
Weka akiba ya maneno Kuna watu walinyang'anywa wachumba.Bado ila nina mpenzi ambaye niko tayari kwake kwa hilo.
So yeah, I’m taken.
Na wakipata goli tu mchezo umekwisha!WAARAB KAMA SIWAELEW WAMEKUJA NA KAKASI FULAN
Mungu Ibariki SIMBA
leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca.
Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni.
Nini maoni yako kuhusu mchezo huu?
Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
View attachment 2847129Mchezo umeanza kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam
Kikosi cha Simba kilichoanza
View attachment 2847133
Kikosi cha Wydad kilichoanza
Ushindani ni mkali
Timu zote zinapeana zamu kushambulia
36' GOOOOOOOOOOOOOO
Willy Essomba Onana anaipatia Simba goli la kwanza
38' GOOOOOOOOOOOOOOOO
Onana anaipatia Simba goli la pili
Kipindi cha kwanza kimekamilia
MAPUMZIKO
Timu zinarejea kwa ajili ya kipindi cha pili
Mchezo umeanza
47' Kiungo wa Simba, Muzamiru anapata kadi ya njano kwa kucheza faulo
Kwani mpigaji wa huo mpira aliyefunga ana upana gani kuweza kufanya idadi ya mabeki waliomzuia Ayoub aweze kuonekana?Wana upana gani magoli yote zaidi ya 30m,hao mabeki labda wana undugu na Unju.
Tulia Makaveli...Mzamiru ni hamna kitu kabisa, hakai sehemu husika kwa wakati, si kwenye kushambuliwa wala kucheza
Sasa jamani mi nimesema kipi kibaya? Yani nikiwa na mpenzi ambaye namuona anafaa kuwa mume nisiseme nimechukuliwa tayari?Weka akiba ya maneno Kuna watu walinyang'anywa wachumba.
Unaweza ukapelekwa kwenda kuishi Brunei.Ukasahau kabisa kama Kuna shida duniani.
By the way mchezo wa Leo utarudisha confidence ya timu.
Christmas ni mipango ya maokoto kibiashara kwa wajanja duniani, huoni kwanini inshu kama hizo Wanaoweweseka nazo sana ni Ke na Watoto [emoji848][emoji28]Ni sahihi kabisa Best...
Sasa hayo makitu yako yanakuwa sio utani tena...ni uchafu...
Merry Christmas in advance Bestie.
Mnyama anaongoza njia nyumbu uto anafuataWydad watuokoe na hii fedheha jamani 🥹🥹
Usiseme bocco sema tegemeo la wanasimbaBocco anaingia
Israel Mwenda anaingia
Onana anatoka
Chama anatoka